Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani kuna rafiki yangu kwao W[emoji134]wana kale ka mti kafupi kanazaa kama ugomvi; maparachichi yake madogo madogo kama yana upele; ni matamuuuuu. Niliupanda hapa; ninavyouangalia Kila siku [emoji23][emoji23]
"ka mti kafupi

kanazaa kama ugomvi

madogo madogo yana upele

ni matamuu

niliupanda hapa"

Dunia simama nishuke[emoji1787][emoji2089]
 
Back
Top Bottom