Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Masenior born town ndio wenye huo mtandao wewe😛Mtandao wa ma junior huo 🤣🤣🤣 wanao ingiwa kwa ulimwengu wa simu janja
Masenior born town ndio wenye huo mtandao wewe😛Mtandao wa ma junior huo 🤣🤣🤣 wanao ingiwa kwa ulimwengu wa simu janja
Wameipenda tu..hamna jingine.Ninasakata kabumbu si mchezo ndugu yangu.
Jamaa Voda wapo njema kwa kila eneo, zamani za kale nilikuwa na wish sana kufanya kazi pale kama IT .. ila ndoto zikafaaa baada ya kuanzia Airtel 😃😃 kama walinivuruga mawazo yangu napo nilifanyaha miezi sita nikashindwa kaziHakuna kampuni wana kasi ya mtandao kama Voda, huduma zao za Internet sio tigo, halotel, airtel n.k wanafikia...
😃😃😃😃😃 Tuliokuja mjini tunatumia niniMasenior born town ndio wenye huo mtandao wewe😛
Wapo vizuri sana na wakikuambia ni 4G LTE amini, mbali na kasi ya internet huduma zao zimenyooka hazisui sui kama hawa wengine, wapo vizuri sana.Jamaa Voda wapo njema kwa kila eneo, zamani za kale nilikuwa na wish sana kufanya kazi pale kama IT .. ila ndoto zikafaaa baada ya kuanzia Airtel 😃😃 kama walinivuruga mawazo yangu napo nilifanyaha miezi sita nikashindwa kazi
Dada mkubwa😍
Ila ni majambazi,huwa wanakata vocha zangu nikiweka.Wapo vizuri sana na wakikuambia ni 4G LTE amini, mbali na kasi ya internet huduma zao zimenyooka hazisui sui kama hawa wengine, wapo vizuri sana.
Bado mapema utafanya kama IT hapo na ndoto itatimia mkuu
Kama kawaida yako Mzee wa kuongea kinyume nyume😂😂Miguu mibaya kichizi......
Yaani ni mibaya.....
Hivi nkamu umeshaweka selfie lakini??Oooh kumbe,
Asante kwa taarifa.
Yaani vocha yako inakatwaje?Ila ni majambazi,huwa wanakata vocha zangu nikiweka.
Kila nikiweka ,kabla sijaunga kifurushi nakuta wamekataYaani vocha yako inakatwaje?
Au unakuwa umewasha data?Kila nikiweka ,kabla sijaunga kifurushi nakuta wamekata
Wananivurugia kibajeti changu..
Unakuta nimeweka elfu 2 ili niunge bando..mara naangalia Salio naona 1700
Miguu mibaya kichizi......
Yaani ni mibaya.....
Nazima dataAu unakuwa umewasha data?
Huduma kwa wateja wanasemaje?
Fika kwenye ofisi zao watakupa msaada.Nazima data
Na nishajitoa kwenye huduma zote za kukata hela.
Last time walipokata nikawapigia. .wakaniambia ngoja wachunguze kwanini hela imekatwa.
Nilishaachana nao maana ni upumbavu nishapiga bajeti Elfu 2 yangu niunge kifurushi cha siku 3 halafu wananichania mkeka🥺
Hiyo nauli ya kwenda voda si bora niunge bando langu Airtel yatosha elfu 2 wiki🤣Fika kwenye ofisi zao watakupa msaada.
Hapana wakati mwingine kuwa na sim cards tofauti inasaidia kwenye miamala, airtime n.k, fika ofisi zao waelezee watakusaidia haraka...Hiyo nauli ya kwenda voda si bora niunge bando langu Airtel yatosha elfu 2 wiki🤣
Ikibidi hapo hapo ofisini waombe wakufidie gharama walizokukata na fidia..Hiyo nauli ya kwenda voda si bora niunge bando langu Airtel yatosha elfu 2 wiki🤣
Me thijui bana🤣🤣😃😃😃😃😃 Tuliokuja mjini tunatumia nini