Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,974
- 177,196
Nimepita mara moja tu kuwajulia hali wapendwa wangu muwe na siku njema!!Karibu boss lady
Nimepita mara moja tu kuwajulia hali wapendwa wangu muwe na siku njema!!Karibu boss lady
Ule mti una Ugomvi na mimi.Kwa kweli ukienda msimu ujao unikumbuke tu![]()
Nzuri kabisa bosi ledi; za wewe na familia?Mama pasta Heaven Sent habari za uzima!!
Igwweeeeeeeehhh leo at least umeachia sura nkamu ✌️✌️✌️mama pasta Heaven Sent unapitwaaaaa hukuuuHeaven Sent
Njoo uhesabiwe
Weee nilikuwa narefresh page; nikapose kidole baada ya kuiona
Alikosea timing.Duuuh mi wanaopika wameenda likizo na nyumba iko vurururu.
Mungu ni mwema sana mama pasta mimi na familia yangu tuko poa na tumeshahesabiwa !Nzuri kabisa bosi ledi; za wewe na familia?
😂😂😂Huyu karani ameiba shati langu
Yaani kuna rafiki yangu kwao W🙆wana kale ka mti kafupi kanazaa kama ugomvi; maparachichi yake madogo madogo kama yana upele; ni matamuuuuu. Niliupanda hapa; ninavyouangalia Kila siku 😂😂Ule mti una Ugomvi na mimi.
Nikienda nakuta mateta.
Hayo ya kisasa miaka mitatu tu yaanza kuzaaYaani kuna rafiki yangu kwao W🙆wana kale ka mti kafupi kanazaa kama ugomvi; maparachichi yake madogo madogo kama yana upele; ni matamuuuuu. Niliupanda hapa; ninavyouangalia Kila siku 😂😂
Jamani kwa hiyo sisi huku ndiyo hatujasensabika bado?Mungu ni mwema sana mama pasta mimi na familia yangu tuko poa na tumeshahesabiwa !
Msijareee siku bado Watapita tu !Jamani kwa hiyo sisi huku ndiyo hatujasensabika bado?
Subirini 2032Jamani kwa hiyo sisi huku ndiyo hatujasensabika bado?

Ninauhakika kabisa sihitaji wala🤣Kwanza akupe tu PDF lote🤣
Utachambua
Labda kama mnaniletea mchumba hapo sawa😎Upende usipende utachukua
Wikii ni karani 😁😁Nilikuwepo on time. Sijapitwa Mr mawani![]()