Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nope; nisikutie moyo, wala nisikukatishe tamaa. Nendeni kwenye kanisa mnalotamani kufungia ndoa; then waelezeni juu ya Nia yenu njema; naamini watawasikiliza na kuwasaidia kufanikisha jambo jenu. Ila muwe wavumilivu; kufika tu na kufungishwa ndoa within a month sio rahisi. Afu baada ya ndoa mnataka muwe mnasali wapi? Maana isiwe tu mkawa mnataka kanisa liwasaidie kufunga ndoa then after ndoa mrudi huko kusikojulikana. Au tafuteni mtu mzima ambaye anawafahamu kidogo awasaidie kuongea na huyo Mchungaji. Nia yenu ni njema sana; Mungu aifanikishe; ila pia muwe na kanisa maalumu mtakapokuwa mnachungwa na kulelewa kiroho
Sekta hii huna mpinzani

Sasa fanya kuwafungisha hiyo ndoa
 
Wacha bhana

Sasa itakuwaje

Kibali bado asee

Ni pale palee
Hapa hupajui
58BBF037-3EBD-4AB6-9CA2-B9C793304D44.jpeg
 
Back
Top Bottom