Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenikumbusha mbalii hii ngoma 😀😀😀Justin mwenyewe alikuwa ni 🔥🔥🔥 haya majamaa zamani yalikuwa yanajua sanaView attachment 2334516
Screenshot 2022-08-25 161518.png
 
Screenshot_20220717-011358_WhatsApp.jpg

Sina uhakika kama ni kweli lakini mmea huu umekuwa ukisifiwa sana kuwa ni tiba nzuri ya kansa nyingi hasa zikiwa changa. Dr. Sebi - mganga maarufu anayejulikana kimataifa kwa kutibu magonjwa mbalimbali sugu kwa kutumia mitishamba - ana ushahidi mwingi wa kutibu kansa zilizoshindikana kwa kutumia mmea huu. Alishawasilisha ushahidi wake katika makongamano mbalimbali ya kimataifa. Hata hivyo aliishia kufa katika mazingira ya ajabu na wengi wanaamini kuwa aliuwawa kwa sababu madawa ya kutibu magonjwa sugu kama kansa, kisukari na HIV ni biashara ya mabilioni ya dola kila mwaka na makampuni mengi ya madawa yamewekeza sana huko.

Kwa upande wa sayansi, baadhi ya tafiti zimeonyesha kuwa mmea huu na hasa tunda lake una faida katika kutibu baadhi ya kansa japo, kama ilivyo kawaida ya tafiti za kisasa, baadhi ya tafiti zimeonyesha kuwa hakuna faida yo yote na mtu ukiugua kansa tiba ya uhakika bado ni chemotherapy na madawa mengine ya hospitalini.

Ni kwa sababu hizi za faida zake za kitabibu, tunda hili (soursop - topetope?) ni ghali sana katika sehemu nyingi duniani.
Screenshot_20220825-091507_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom