Salama chiefHabari ya asubuhi selfika
Kumekucha sasa
Ni matumaini yangu kwa uwezo
Wa aliye juu
Tumeamshwa salama
Uwe na asubuhi njema na majukumu mema
Salama chiefHabari ya asubuhi selfika
Kumekucha sasa
Ni matumaini yangu kwa uwezo
Wa aliye juu
Tumeamshwa salama
Hapana Ni mdogowangu labda nitakuwa shangazi na mm
![]()

khaaaaah, wee hapana.Kweli aunt utake nipate wifi jamni kaka mwenyew ninae mmoja tu 😂😂😂khaaaaah, wee hapana.
ohooo.. watu wa dar mna maneno 😀😀😀 haya tabia nzuri ya kubinya binya kama nyanya ipo naona hapo imevaliwa safiSio katakro, hiyo inaitwa tabia.
☝️☝️☝️☝️Darasa la selfika absentees na presentees. Ukisikia jina lako kama upo sema present. Napitisha ROCALL.
Depal myoyambendi Mshana Jr Mjep raraa reree National Anthem Shimba ya Buyenze Lenie Antonnia cocastic Surbi Saint Anne Alayna Kelsea Lizzy Carrasco putin Heaven Sent Wigelekelo Ntiluseswa Lovelovie Hannah Tayana-wog Simara Tinsley reymage Glenn Elli Nuzulati mawardat
Mapema sana Karani amefika,
Juzi na LeoDarasa la selfika absentees na presentees. Ukisikia jina lako kama upo sema present. Napitisha ROCALL.
Depal myoyambendi Mshana Jr Mjep raraa reree National Anthem Shimba ya Buyenze Lenie Antonnia cocastic Surbi Saint Anne Alayna Kelsea Lizzy Carrasco putin Heaven Sent Wigelekelo Ntiluseswa Lovelovie Hannah Tayana-wog Simara Tinsley reymage Glenn Elli Nuzulati mawardat
Saint Anne habari ya asubuhi?Juzi na Leo
Ni njemaSaint Anne habari ya asubuhi?
Hiko kiatu kaka!!😎Kila siku mnajitupia peke yenu tuView attachment 2333036
Umuandalie chai kabisa mtumishiNi njema
Nasubiri kuongea na kaminsa wa sensa hapa, soon anaingia.
Alikuwa na kazi ngumu maana kulikuwa na utitiri wa watoto😂Umuandalie chai kabisa mtumishi