NiHiko kiatu kaka!!😎
Boss hapokei simu sa sjui itakuaje
tulale tuuu hakuna namnaBoss hapokei simu sa sjui itakuaje
Jimbo linanyakuliwa kama Putin alivyoinyakua Crimea, kaa chonjo...Nani huyo anataka kuniibia utamu wangu?
Hajui nina bastola?
Ni namba ngapi hiyo mkuu?NiView attachment 2333215
Unakiogopa,mbele mbele watu awaangaliani mavazi
,angalia bei iko kiatu kwanzaView attachment 2333220
😀😀😀😀😀Jimbo linanyakuliwa kama Putin alivyoinyakua Crimea, kaa chonjo...
Nina RPG nakusubiri...
Nimetangaza operation itakayodumu siku 3 tu, lengo ni ku demilitarize huyu jamaa mwenye silaha...😀😀😀😀😀
Kwema Mkuu! Hapa kumekucha tunaendelea na harakati na mwafricaNimetangaza operation itakayodumu siku 3 tu, lengo ni ku demilitarize huyu jamaa mwenye silaha...
Mkuu kwema?
Liverpool mnatia huruma sana..
Hajui tuna F22 raptor zimo ndani tunasubiri mafuta yashuke tuzirushe...Kwema Mkuu! Hapa kumekucha tunaendelea na harakati na mwafrica
Naona anatushia jeshi kamili 😀😀
Jamaa mwehu sana..Liverpool mnatia huruma sana..
Poleni sana, sababu huwa hazikosekani, kazi ya ukocha ni ngumu mno