Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Kapatwa na nn tena
Kapatwa na nn tena
Cadet na jeansKapatwa na nn tena
Mmhh HannahAcha leo muone tabia kama ipo[emoji1787]View attachment 2332649
Marhaba mkuu,Shikamoo rafiki
Halafu sikupati simuni
Sasa sijui umenibuloku[emoji848]
Baby shikamoo[emoji16]Marhaba mkuu,
simu ipi hiyo tena?
😂😂😂Kwamba anavaa sana au namnunulia yeye??😂Cadet na jeans
Shikamoo unataka kuninyima nini baby??Baby shikamoo[emoji16]
Ebhana eeeeeeh duuuuh daaaah 😙😘Acha leo muone tabia kama ipo[emoji1787]View attachment 2332649
Nafurahi kusikia hivyo nkamu 😊😊Mimi ni nkamu kabisaa😜
Hii pisi nani mmiliki? Nauliza tusije onana wabaya...Acha leo muone tabia kama ipo[emoji1787]View attachment 2332649
Utelezi 😔Unajihisi unakula nini
Kwani[emoji848]
😀😀😀 hiyo mtoto anaeleweka alafu anaonekana pia ana swaga kweli kweli.. akikuelewa umeula.. yupo single hana mtu 😃😃😃
Nipo tayari kuhesabiwa, kwa moyo mweupe kabisa...😋😋😋 mambo mazuriView attachment 2332748View attachment 2332749
Mtoto mzuri kama huyu huku anafanya nini?😀😀😀 hiyo mtoto anaeleweka alafu anaonekana pia ana swaga kweli kweli.. akikuelewa umeula.. yupo single hana mtu 😃😃😃
Ng'ombe 50 ni reasonable kabisa mkuu
AiseeHii naijua.. nataka mpya
Carlos Tevez
Nimekuchagua weweSafariiii ndefuuu
Ya mwanadamu
Ni maisha na mapenzi
Kuwa mke / mume
Mara moja kubahatika
Na ile ndoto yanguu
Ya siku nyingiii
Njoo umalizie kuimba Lenie shemeji
🎵Nimekuchagua wewe
Uwe wangu
Wangu wa maisha
Wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno ya watu
Wasemayoo
Yaliyopita si ndwele
Tugange yanayokuja😍
Jirani umeshindaje