Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Mashangazi hawana umate mateNipo mie Shangazi
Ma Aunt wapo njema
Si uliona kwenye ile harusi
Tofauti yao eeh


Mashangazi hawana umate mateNipo mie Shangazi


Ebu nikwotShoga Lenie nimezawadiwa uzi kimasihara![]()
Mimi mambo hizo sijazoea jamani![]()
We mod uliyefanya hivyo Mungu anakuona![]()
Nilicomment kuhusu dstvEbu nikwot
Nikakusome
Selfika na #tigo#
*104*505025697483581#
Dstv wanaongeza bei hawaongezi tozo😁😁😁😁Nilicomment kuhusu dstv
Sasa comment imegeuka uzi
Afu myoyambendi dstv hawaeleweki, mie tv imedisplay tangazo la kupanda vivurushi..
Sasa tushike wapi, tuachie wapi
Si ndioDstv wanaongeza bei hawaongezi tozo😁😁😁😁
Umeanzisha uzi, 🤣🤣Nilicomment kuhusu dstv
Sasa comment imegeuka uzi
Afu myoyambendi dstv hawaeleweki, mie tv imedisplay tangazo la kupanda vivurushi..
Sasa tushike wapi, tuachie wapi
Tutafute pesaAcha leo muone tabia kama ipoView attachment 2332649
Huyu mzee wa AiseeNilicomment kuhusu dstv
Sasa comment imegeuka uzi
Afu myoyambendi dstv hawaeleweki, mie tv imedisplay tangazo la kupanda vivurushi..
Sasa tushike wapi, tuachie wapi


Kwanini?Huyu mzee wa Aisee
Kumbe ni mtoza ushuru aka ZAKAYO
Wa dstv![]()
NitakubondaaNimejikuta tu
Kwanini kwani![]()
Wamepita nayo banaSelfika na #tigo#
*104*505025697483581#
AbsentDarasa la selfika absentees na presentees. Ukisikia jina lako kama upo sema present. Napitisha ROCALL.
Depal myoyambendi Mshana Jr Mjep raraa reree National Anthem Shimba ya Buyenze Lenie Antonnia cocastic Surbi Saint Anne Alayna Kelsea Lizzy Carrasco putin Heaven Sent Wigelekelo Ntiluseswa Lovelovie Hannah Tayana-wog Simara Tinsley reymage Glenn Elli Nuzulati mawardat
Nishaandika pale waifuteUzi gani huo didi ake
Usnambie ushakua femasi, nianze kuringa mie humu chawa kama chawa😂😂