Sijui kwa nini sina airtelSelfika na #airtel#
*104*98062175575804#
Pole madamSijui kwa nini sina airtel
Nimecheka sanaPole madam
Hata hivyo wenye tabia nzuri huu mtandao siyo wenu![]()


Ewaaaah, sasa mambo si ndio haya.Selfika na #halotel#
*104*5497405849363#
Kumchekesha mtaalamu wa mahesabu si kazi ndogo, inabidi nijipongeze wallah😂Nimecheka sana![]()
Rafiki yake mwehu😂😂😂😂ahsanteeeeeeeh, wee je????
Kunywa soda, nakuja kulipaKumchekesha mtaalamu wa mahesabu si kazi ndogo, inabidi nijipongeze wallah![]()
Nimekumiss@Glenn
Nani huyo anataka kuniibia utamu wangu?Its Pancho njoo.
😀😀Asante kijana wangu.Ba mdogo hii mikato sio ya mtu mshamba safiii.
Mambo ha site hayoMissing my home... Hope to see you soon...View attachment 2333065
😂Hapana Ni mdogowangu labda nitakuwa shangazi na mm 😂😂😂una mnunulia ankoli????
️