Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hahahhah kikubwa kageuka etiInatosha hivyo hivyo...
Hahahhah kikubwa kageuka etiInatosha hivyo hivyo...
Kwamba?Prove me wrong..
mbele ya geti
Na wewe umetamani nywele nikukatie[emoji39][emoji39]
AmeeeenHallelujah
Yaani acha tu, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakiiii nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunajishaua ooh napumzisha kichwa kumbe mchawi pesa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama mchungaji unaenda kunishinda ujueSa
Sawa cheupe; nikomeshe cheusi mangara
Unaloga nini sasaNi wivu tu
Naanza kuloga soon
Mkaka bana
Wadada sisi tunapendana siku zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau kuweka na ya kutolea
Mama mchungaji alijua sina nywele kila siku ananiona na mkorea [emoji1787][emoji1787] akaniuliza niko na mkataba na mkoreaHivi auntie kwanini lakiniiii[emoji7][emoji7][emoji7]
Naogopaa 🙈 watu watasikiaOohh kama ni mkaka ngoja nikusaidie,, ninong'oneze ni nani..
[emoji23][emoji23] silent killers
Sasa tatizo uogaa.
Mimi jamani naogopaaa [emoji85]
Mahindii yangu yakuweUnaloga nini sasa
Ndo na hapo na mimi sielewi; nimetuna tu kama baunsa; huku chini ni kama nimedondoka bafuni jamaniiiMama mchungaji mnyaki gani wewe huna wowowo
Nitapambana na hali 🚶Heheh bahati mbaya hakuna twisheni ya uoga ngekurikomendia mwalimu
Hahahhah kikubwa kageuka eti
Hahahahaha nimecheka sanaNdo na hapo na mimi sielewi; nimetuna tu kama baunsa; huku chini ni kama nimedondoka bafuni jamaniii