Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,845
Hahah si ni kweli kasimama mbele ya geti
[emoji23][emoji23]we bhange siyo??
[emoji23][emoji23]we bhange siyo??
Hivi kumbe hicho kitambi hujakiona[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahaaa mbali sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekumbuka wapi eti
Mweeeeeh!![emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]nilianza juzi na leo iwe mara ya pili
Njoo uchukue auntie nakukatia za juu View attachment 1256380
We haya tu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie ebu acha kunijaza basi ujue
Nitapambana na hali [emoji124]
He he iwepo sasahaswaaa...next thing you know, hiyo emoji itawekwa kando
Shape yenyewe haswaaa
Anagoma si anajua anayoAnagoma eti
Kweli nami nilijua na wewe ni mwenzangu na mie kumbe nehiiii[emoji134][emoji134]Mama mchungaji alijua sina nywele kila siku ananiona na mkorea [emoji1787][emoji1787] akaniuliza niko na mkataba na mkorea
Kwamba?
Matatizo yako ya macho hayajaanza leo ujue[emoji134]Daah hata kama ndiyo nina matatizo ya macho lakini siyo kiasi hicho,, tumbo flat kabisa hilo sisi wenye vitambi kama mapakacha tusemeje sasa??
Haaha sio nyie auntie wengi wanajuaga hivyo sasa siku nikiamua kuziachia wanashangaa kumbe una nywele ndefu hiviKweli nami nilijua na wewe ni mwenzangu na mie kumbe nehiiii[emoji134][emoji134]
Nilitoka kidogo[emoji134]Auntie mbona ulikuwepo picha ilivyotupiwa lakini
Naogopaa [emoji85] watu watasikia
Hata najua basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296]kwani tunaongelea nini??
Mahindii yangu yakuwe
Ebu mwambie airudisheNilitoka kidogo[emoji134]