Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485



enhe wale wale



enhe wale wale
Tena natural na nzuri kabisa!!Haaha sio nyie auntie wengi wanajuaga hivyo sasa siku nikiamua kuziachia wanashangaa kumbe una nywele ndefu hivi


Nami naziomba hizo nywele..Njoo uchukue auntie nakukatia za juu View attachment 1256380



Njoo uchukue auntie nakukatia za juu View attachment 1256380
Anagoma si anajua anayo
Yaani kutoka kidogo tu kurudi holaaaa!!enhe wale wale






basi itakuwa nina makengeza
Matatizo yako ya macho hayajaanza leo ujue![]()
Hata najua basi![]()
Haya mambo ya kudolishiana pesa wakati mie nina ka jero kangu hapa sio mazuri kabisa.hahah sijamsema vibaya huyo aliepost hela nilivyosema mbona hela chafu, point yangu yani tuweke japo hela vizuri yani, ngojeni niwaonyeshe mfano hiyo pic nimpegia apo chini, mi sipendagi yani labda niende sehem af nirudishiwe pesa zimechafuka chafukaView attachment 1256419
Si mchezoNjoo uchukue auntie nakukatia za juu View attachment 1256380
Kweli kabisa.basi itakuwa nina makengeza
hahah sijamsema vibaya huyo aliepost hela nilivyosema mbona hela chafu, point yangu yani tuweke japo hela vizuri yani, ngojeni niwaonyeshe mfano hiyo pic nimpegia apo chini, mi sipendagi yani labda niende sehem af nirudishiwe pesa zimechafuka chafukaView attachment 1256419
Yaani kutoka kidogo tu kurudi holaaaa!!
We najua haujaiona![]()
Macho ya kilevi shee.Leo nitaselfisha matukio yote toka muda huu ninapoamkaView attachment 1256420