Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
Na sasa hivi kipo karibu kabisa masaa mawili ni mengi aki tena.Babake
Kitalu changu
Still bado hutaki kuja.
Kisima nimechimba
Mapori nimeyafyeka
Embu ukuje; serious
Nikupimie hatua
Na sasa hivi kipo karibu kabisa masaa mawili ni mengi aki tena.Babake
Kitalu changu
Kubebwa jamaniNgoja nimalize kibarua cha Boss nirudi kuangalia mwili wa kubebwa toka sebuleni mpaka chumbani.
Abee!Shem
Hahahaha ndiyo najua ila nimecheka sababu nimehisi umemsingizia heaven sent
ModNani huyo eti
Niliona siku tatizo mm sikai sana humuUliona buana....sema we upo resi...kuna mod ako na jina la Active
Hakiiii nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe hatuna pesa!
Umeanza lini kunena kwa lugha?ich liebe dich
Hakiiii nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe hatuna pesa!
Hivi tunazungumzia nini eti jamani
Haha kwamba wewe kweli ni mama mchungaji??
Sasa hao niloonana nao tulionanaje?Y'all belong into the same basket...
Huna hizo guts
Na dada ako.Weeeh na nani eti siwapeleki
Hebu ukuje pm eti!!Na sasa hivi kipo karibu kabisa masaa mawili ni mengi aki tena.
Still bado hutaki kuja.
Kisima nimechimba
Mapori nimeyafyeka
Embu ukuje; serious
Nikupimie hatua
Hahah mjeda jana alisifiwa sijui alitupia picha ya vipi
Hahaha wewe bwanaHivi tunazungumzia nini eti jamani
Peke ako naogopaNa dada ako.
Ila yeye analega lega
Embu nichukue peke angu
We vipi? Sasa mbona unaniitia watu wako 😂😂Mfate uko acha uoga mjeda unaitwa huku