Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimejaribu kupika tambi mayai leo ila tambi upande mmoja hazijaiva na upande mwingine zimeungua 😞 mwenye kujua kupika tambi nzuri naombeni muongozo!View attachment 2330638
Unatakiwa uchemshe kwa maji mengi kisha uzichuje zikishalainika.

Kutupia chumvi wakati wa kuchemsha na kuzimwagia maji baridi wakati wa kuzichuja inasaidia zisishikamane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…