Carlos Tevez
JF-Expert Member
- Jun 8, 2022
- 383
- 1,021
Point zangu mm anazo liver tulia uone hyo kesho ninavyosepa na kijijiBanaaaa
Emu acheni uchokozi
We mwenyewe nyumbu tu, huna hata point 1… ila kelele sasa 😂
Point zangu mm anazo liver tulia uone hyo kesho ninavyosepa na kijijiBanaaaa
Emu acheni uchokozi
We mwenyewe nyumbu tu, huna hata point 1… ila kelele sasa 😂
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭!!Mmxxxxxxxxxxxxxxiiiieeewwww!!
Oyooooooooooo🤣🤣🤣🤣🤣Kelele moja kwa mwee mweee akeeeee 😂😂🤸🏻♀️🤸🏻♀️
Beauty beauty 🤔🤔Enjoy your weekend guys
Antonnia was here✌️✌️!!
Kaa kwa kutuliaSasa unacheka nini?
Akidaka mnamuona mwamba.Emu nikaoshe vyombo
Mendiiii![]()










SituliiiKaa kwa kutulia
Hivi unaangalia hata mpira?Akidaka mnamuona mwamba.
Akifungwa mnamuona takataka
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Chaliifrancisco njooPoint zangu mm anazo liver tulia uone hyo kesho ninavyosepa na kijiji
Nakusogezea mrembo karibuWe mchochezi mdogo wangu![]()
Ni suala la muda tu. Ngoja tuone.
Nitakuwa hapa live kukupa updateNi suala la muda tu. Ngoja tuone.
Ila na mind kuwa hiyo game sitaiona maana nitakuwa night dah.
Wewe unamsonya nani vile?Mmxxxxxxxxxxxxxxiiiieeewwww!!
Updates nitaziona asubuhi maana hata simu huwa siingii nayo job naenda mimi kama mimi. Simu ni marufuku.Nitakuwa hapa live kukupa update
Sawa afsa UNUpdates nitaziona asubuhi maana hata simu huwa siingii nayo job naenda mimi kama mimi. Simu ni marufuku.
Afsa wapi kapuku mmoja tuSawa afsa UN
Utahama hama mpaka uchoke. Mwishowe utaacha kushabikia.Mimi ni shabiki wa Brighton 😂