Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,503
- 203,208
Uchawi sitakiiiIla kwa kuwa yuko Chelsea sishangai. Maana ndo mambo yenu hayo. Si unamkumbuka Ivanovic? Hazard je? 😆😆
Nyumbu mzee wewe
Uchawi sitakiiiIla kwa kuwa yuko Chelsea sishangai. Maana ndo mambo yenu hayo. Si unamkumbuka Ivanovic? Hazard je? 😆😆
Ngoja nikirejea mjiniNipo vyema Mkuu, habari za siku nyingi?
Nitafutie soko la mbaazi Kwa Wahindi hapo Mjini, nimelima nyingi sana Mwaka huu
Niselfike na sijapata vocha nina kichaa!! !Wape pole msibani ila usisshau kuselfika
Tulia dk 90 zibonge.Uchawi sitakiii
Nyumbu mzee wewe
Sijui leo mtamsingizia naniUchawi sitakiii
Nyumbu mzee wewe
Hongereni mliopata 😂😂 maana najua haikuwa rahisi… mliokosa kesho nayo ni sikuMzigo ndo ulikua huo
Hadi wakati mwingine
Msisahau kuselfika✌️✌️
Na mnapelekwa mbayaaaWasi wasi umeanza kunishika
Chesiii yangu mm jamani 😂
Refa leo ni Stuart
Kama hana undugu na Antony sijui 😂😂 na venye tuko ugenini🙌
Starehe niliyoichagua hii
Lenie
Ni hotspot basi. najua umepata zaidi ya nusu ya hizo. Maana sio kwa ile speed ya siku ileHongereni mliopata 😂😂 maana najua haikuwa rahisi… mliokosa kesho nayo ni siku
Siaminiiii😳😳😳😳😳😳😳! na kuitwa itwa kote 🙆🙆🙆🙆🙆Mzigo ndo ulikua huo
Hadi wakati mwingine
Msisahau kuselfika✌️✌️
Hiyo Team me mbona nishahamia? Ni kimebaki kitendo cha kupata jezi yake tu 😂😂😂Hamia timu ya Babu yako, Arsenal
We are doing fine here under Mikel Arteta 💪🤸🤸
Hadi nimekuonea huruma.. si unajua survival for the fittest?Siaminiiii😳😳😳😳😳😳😳! na kuitwa itwa kote 🙆🙆🙆🙆🙆
Bro mand unazinguaaaa!! Kama una nia weka hapaaaa!!Fanya mambo nikuwekee mzigo kwa voda yako![]()
Ni suala la muda tuu kuna mtu atapotea hapa jukwaaniNa mnapelekwa mbayaaa
Nimechelewa afu nilikua na shida na mb balaaMzigo ndo ulikua huo
Hadi wakati mwingine
Msisahau kuselfika![]()
SeriouslyNi hotspot basi. najua umepata zaidi ya nusu ya hizo. Maana sio kwa ile speed ya siku ile
Hivi taqo la sterlingKomaaaa weeee
Sina namba inaishia 14
Vocha za leo hata sijashughulika nazo
Lenie muone Wige anavyoneng’eneka![]()

Tuliza komwe kwanzaNa mnapelekwa mbayaaa