Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,174
Komwe lako 😂Hivi taqo la sterling
Leo linazungushwa eeh
Na tule tu mikono![]()
Komwe lako 😂Hivi taqo la sterling
Leo linazungushwa eeh
Na tule tu mikono![]()
Basi leo uko kidon zaidi au ndo umeamua kuconcentrate na the bluesSeriously
Vocha za leo sijashughulika nazo 🙌
Bro mand unazinguaaaa!! Kama una nia weka hapaaaa!!


hapa mtagombania utakosaaa! Weka mambo sawa nirushe mzigo!!Mie nashangaaga tu zinapopotelea huoni pipo nyingine zikiomba ngoja ziwekwe ndio utajua hujui😄😄😄😁😁!!Hadi nimekuonea huruma.. si unajua survival for the fittest?
Umeanza kuwa mtu wa jazba sasa 🤣🤣Tuliza komwe kwanza
Ni hotspot basi. najua umepata zaidi ya nusu ya hizo. Maana sio kwa ile speed ya siku ile

Niko busy na mpira 😂😂🙌Basi leo uko kidon zaidi au ndo umeamua kuconcentrate na the blues
Kuna watu ni silent killers. Hawa comment chochote. Ila vocha ziwekwe sasa ndo utajua hujuiMie nashangaaga tu zinapopotelea huoni pipo nyingine zikiomba ngoja ziwekwe ndio utajua hujui😄😄😄😁😁!!
Carlos subiri dk 90 ziisheUmeanza kuwa mtu wa jazba sasa 🤣🤣
Weka tu hivohivoo ! 😎hapa mtagombania utakosaaa! Weka mambo sawa nirushe mzigo!!
Nibofye ngapi kupata tafsiri ya (level)??Hii level sijaifikia
Nibofye ngapi
Kupata tafsiri![]()
TV niitoe wapi me nimepauka hv😂Huna TV? 😂😂😂
Antony bwege tu 🚮🚮
Nimevulia kofiaaa !! Haya waselfike sasa selfii ziendelee!Kuna watu ni silent killers. Hawa comment chochote. Ila vocha ziwekwe sasa ndo utajua hujui
Aje asome hapo aelewe Wigelekelo 😂😂🤣Hivi hajui kama wewe ni boss mutoto
Vocha zinaingia tu bila hata kuomba😂😂
😂😂 starehe yako sasa nini?TV niitoe wapi me nimepauka hv😂
Lugha uliotumia kuandikaNibofye ngapi kupata tafsiri ya (level)??
Habari kashaipata😅Aje asome hapo aelewe Wigelekelo 😂😂🤣
🤣🤣 hahahaaaa. Poa poa bora na Chelsea yako ungekuwa man u ndo ungepona kichaaCarlos subiri dk 90 ziishe
Mm chesiii nawapenda sana
Wakichawiwa naumia 😂😂