Yaani leo mtajua hamjui. Tukutane baada ya dk 90Wasi wasi umeanza kunishika
Chesiii yangu mm jamani 😂
Refa leo ni Stuart
Kama hana undugu na Antony sijui 😂😂 na venye tuko ugeninu 🙌
Starehe niliyoichagua hii Lenie
Hii nasubiria ya mwisho nikikosa bathiiii sio rizkiii!!Chief wewe kula samaki tu leo hizi ni za Surbi atakuloga😁😁😁
Ushaanza mambo yako ya kiume😂😂Wasi wasi umeanza kunishika
Chesiii yangu mm jamani 😂
Refa leo ni Stuart
Kama hana undugu na Antony sijui 😂😂 na venye tuko ugeninu 🙌
Starehe niliyoichagua hii Lenie
Usinambie hivyo mimi 😂😂😂 roho mbaya muachie Antony pls 🙌Yaani leo mtajua hamjui. Tukutane baada ya dk 90
Unadhani sisi tunapenda kushika mkia? 🤣🤣 fungweni kabisaUsinambie hivyo mimi 😂😂😂 roho mbaya muachie Antony pls 🙌
Hivi sakata la kutuuza limeishia wapi?
Bye bye kakaaaa!!! Wakulungwa Shikamooni!!🚶🚶!
HakikaFanya mambo nikuwekee mzigo kwa voda yako![]()

Tulia emu, hapa nimekaaje kwa utulivuUshaanza mambo yako ya kiume😂😂
Au matipo yake na Antony😂😂
Hivi kwenye mpira hamna matipo?
Nyumbuuuuuu 🤣🤣🤣🤣Unadhani sisi tunapenda kushika mkia? 🤣🤣 fungweni kabisa
🤣🤣🤣 ila ww akili zako 🙌🙌. Ka Sterling kana nn etiTulia emu, hapa nimekaaje kwa utulivu
Haka ka sterling kana taqo hatari 😂😂😂😂
Matipo zipo mama
Nje na ndani
Sasa usiombe zote zikawa akili za Kina Antony
Game litawachachia watu balaa
Kama sio DeborahMwenye 14 nakusalimiaa Shikamoo!!! Unaupiga mwingi sio kitoto![]()

Em mfotoe nilione hilo taqo🤣🤣🤣🤣Tulia emu, hapa nimekaaje kwa utulivu
Haka ka sterling kana taqo hatari 😂😂😂😂
Matipo zipo mama
Nje na ndani
Sasa usiombe zote zikawa akili za Kina Antony
Game litawachachia watu balaa
Kijana ana taqo huyu 😂😂😂 yan ana kashape amazing sana🤣🤣🤣 ila ww akili zako 🙌🙌. Ka Sterling kana nn eti
Wape pole msibani ila usisshau kuselfikaBye bye kakaaaa!!! Wakulungwa Shikamooni!!🚶🚶!
Huna TV? 😂😂😂Em mfotoe nilione hilo taqo🤣🤣🤣🤣
Ila Antony alijua kukutenda ile siku, pole sana😆
Ila kwa kuwa yuko Chelsea sishangai. Maana ndo mambo yenu hayo. Si unamkumbuka Ivanovic? Hazard je? 😆😆Kijana ana taqo huyu 😂😂😂 yan ana kashape amazing sana
Ombaomba wa kimya kimya habari za saii!!😎😎😎Kama sio Deborah
Sijui![]()