Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Kula na wa mweeeee💃💃💃😂😂 starehe yako sasa nini?
Kula na wa mweeeee💃💃💃😂😂 starehe yako sasa nini?
Waambie kabisa Ile bei yao ya kilo shilingi 150/- siitaki.Ngoja nikirejea mjini
Subiri nipate bando,naja kukupa muongozoLugha uliotumia kuandika
Mie bado mwanagenzi
Nifanyie wepesi wa tafasri

Na weweWaambie kabisa Ile bei yao ya kilo shilingi 150/- siitaki.
Waje na bei nzuri yenye Tozo humo humo ndani manake siku hizi Miamala yote imepigwa Tozo
NasubiriSubiri nipate bando,naja kukupa muongozo![]()
Wamekunyooosha na mdomo wako!!😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣!!!Nimevulia kofiaaa !! Haya waselfike sasa selfii ziendelee!
Kelele moja kwa mwee mweee akeeeee 😂😂🤸🏻♀️🤸🏻♀️Kula na wa mweeeee💃💃💃
Niache dadaa usinpandishe kichaa ujue!!Wamekunyooosha na mdomo wako!!!!!
Unatia huruma jamaniiii![]()
Ni furaha iliyoje ndugu wanapokaa pamoja wakishangilia Timu yao pendwa ya Arsenal 🤸🤸🤸Hiyo Team me mbona nishahamia? Ni kimebaki kitendo cha kupata jezi yake tu 😂😂😂
Ulisema utanitafutia Kwahio ndio umempata poker?? 🤨😉😉😉!!
Ukizipata nigawieeeeee 😂😂😂Ngoja nizichange
😂😂😂🤸🏻♀️Ni furaha iliyoje ndugu wanapokaa pamoja wakishangilia Timu yao pendwa ya Arsenal 🤸🤸🤸
Karibu the Gunners 💪
Sawa Mkuu, Wacha niwasiliane na TRANa wewe
Hakikisha una receipt ya EFD
Mr vocha simuweziiii yuleee🙌🙌🙌🙌🙌!!
Nimeacha nimeacha sis mie sikuweziiiii 🙌🙌🙌🙌!Niache dadaa usinpandishe kichaa ujue!!
Tushafanya yetuTuliza komwe kwanza
Mendy kazingua 😂😂😂🙌🙌Tushafanya yetu
Depal Soma hiyooMashauzii yamemua Mendy😂🤣🤣🤣🤣 njoeeni mnichekee
Chaliifrancisco