Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,217
Sijambo jirani.. vipi weye?Jirani unaendeleaje
Sijambo jirani.. vipi weye?Jirani unaendeleaje
Kuuaga msimu wa baridi😁😁Tuko busy na wkend
Mimi nipo salama jirani...Sijambo jirani.. vipi weye?
Ndiwooo jirani 🤣🤣 maana joto likianza huwezi tamani mama chanja akuguseKuuaga msimu wa baridi😁😁
Kweli kabisa..Ndiwooo jirani 🤣🤣 maana joto likianza huwezi tamani mama chanja akuguse
Karibu tuangalie EplKweli kabisa..
😂😂Kakichwa kadogo lazima uogelee humo linakua kama puto!!😄😄
Nakuja jirani..Karibu tuangalie Epl
Ooooh umenitamanisha balaaChipsi nusu na robo na mirinda nyeusi unamaliza...

😋😋Ooooh umenitamanisha balaa![]()
Mtoto mzuri Saint Anne , halafu unavyojua kupika unanimaliza kabisaAmen
Ila ujue riba inaongezeka tu ya lile deni
Safi kabisa,wingi wa mayai haufanyi keki kuwa bora,Mimi juzi nimejaribu ikatoa uji ule sikjui.hangaika weee lakini wapi.. nikarudi kwenye mkaa.
Hivi vi oven navyo vinadhalilisha watu,hasa mimi niliyekulia kijijini.
Nimetumia blue band robo,sukari robo,mayai 7 na unga nusu
Ukitaka iwe sponge sana kama hiyo unaweza kuongeza mayai...
Changanya sukari na blue band,
Anza kuweka yai Moja Moja huku unakoroga
Weka baking powder..
Nimetumia limao kuondoa harufu(unaweza tumia vanilla)
Baadaye unga.
Na hujaoroshesha zile slope za last week ulivyofululiza😂😂 BTLenie ujue mie nakoelekea naweza sahau kupika 🤣🤣🤣
Maana siku nikipika cha muda mrefu ni makande…
Pilau mpk mashetani yaamke
Siku nyingine nitoke kwa muhindi, nipitie kula ndio nishuke home
Ama nifike home nianze na tumayai na soseji, ama samaki nimchemeshe, au velvet cake na chai
Chapati za maji na maini/ chai / soda
Yan tokea dogo aondoke mle ndani siku niliyopika kitu cha kuita chakula ni kande nilipika july mwishoni .
Mama akijua 🤣
Atanisema yule mwanamke hadi nisuse nimkatie simu
Safi kabisa,wingi wa mayai haufanyi keki kuwa bora,
Kuna ticha wangu aisee alinifundisha unga robo mayai 8,
Nilivyogundua tu nikaachana na somo lake.



Wewe jamaa sina urafiki na wadaiwa suguMtoto mzuri Saint Anne , halafu unavyojua kupika unanimaliza kabisa

Kawadhiba midomo mdhungu

Umeanza kutupenda naona..taratibu utakana ulipo

