Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤗🤗🤗
AzSux.jpeg
 
Saint Anne naomba recipe bana
Sensa day nijaribu..

Nina multi cooker yenye button ya cake.. nyingine bake.. ila hata kujaribu sijawahi
Mimi juzi nimejaribu ikatoa uji ule sikjui😂😂😂.hangaika weee lakini wapi.. nikarudi kwenye mkaa.
Hivi vi oven navyo vinadhalilisha watu,hasa mimi niliyekulia kijijini.


Nimetumia blue band robo,sukari robo,mayai 7 na unga nusu
Ukitaka iwe sponge sana kama hiyo unaweza kuongeza mayai...

Changanya sukari na blue band,
Anza kuweka yai Moja Moja huku unakoroga
Weka baking powder..
Nimetumia limao kuondoa harufu(unaweza tumia vanilla)
Baadaye unga.
 
Back
Top Bottom