myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Gunners....Karibu tuangalie Epl
Gunners....Karibu tuangalie Epl
🤣🤣Mzungu wao eti amefunga LeoView attachment 2329678
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Lile goli unaomba mafao yako nssf kabisa!Kawadhiba midomo mdhungu![]()
Blue band robo ndio ikoje 😂 mm nina prestige ile ya 1kg nitachotaje nijue hii ni robo?Mimi juzi nimejaribu ikatoa uji ule sikjui😂😂😂.hangaika weee lakini wapi.. nikarudi kwenye mkaa.
Hivi vi oven navyo vinadhalilisha watu,hasa mimi niliyekulia kijijini.
Nimetumia blue band robo,sukari robo,mayai 7 na unga nusu
Ukitaka iwe sponge sana kama hiyo unaweza kuongeza mayai...
Changanya sukari na blue band,
Anza kuweka yai Moja Moja huku unakoroga
Weka baking powder..
Nimetumia limao kuondoa harufu(unaweza tumia vanilla)
Baadaye unga.
🤣🤣🤣🙌 nimefunga vioo,, kiburi hapa napo si ndio kimejaa tuNa hujaoroshesha zile slope za last week ulivyofululiza😂😂 BT
Tafuta hela didi ake ili ule unachotaka sio unachopika
Mimi huwa nakadiria tuBlue band robo ndio ikojemm nina prestige ile ya 1kg nitachotaje nijue hii ni robo?
Process sio ngumu… sijui nitatobo![]()

Chesii team ya ndani 🔥Umeanza kutupenda naona..taratibu utakana ulipo![]()
Nikifanya nitaleta mrejesho hata kama litakuwa bokoMimi huwa nakadiria tu
Sometimes naongeza nikiona kitu kinapungua.
Hiyo kubwa ya 1 kg nimechukua pembeni kidogo tu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ushajifunza how to block kwanza?🤣🤣🤣🤣🙌 nimefunga vioo,, kiburi hapa napo si ndio kimejaa tu
Tule tunachotaka, na sio tunachopika 🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Siblock mtu 🤣 yan sahivi utakuja kuchukua simu ujibu sms zako 😂😂😂Ushajifunza how to block kwanza?🤣
Ndioooo, maisha ni kuenjoy no kujistress
Kwahiyo huyo ni wewe? Ukivaa nguo hutoonekana mpk uwaonyeshee ilivyo 😂😂😂😂😂
Nataka alichonipa mama kikae waziwaziKwahiyo huyo ni wewe? Ukivaa nguo hutoonekana mpk uwaonyeshee ilivyo![]()
Sasa si kitaingia mchanga?Nataka alichonipa mama kikae waziwazi
Acha jeuri we bint. Sema najua hizo hasira zimechanganyika za 250k🤣🤣Siblock mtu 🤣 yan sahivi utakuja kuchukua simu ujibu sms zako 😂😂😂
Na bado sijatest frying fish 😂😂😂🤣 pick n pay sijaziona,, village kwa washua pale naogopa 🤸🏻♀️
Umeamua kujinenepesha ndani ya cku 2 😂