Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Weeeh na nani eti siwapelekiOuting ndo hutupeleki tena
Weeeh na nani eti siwapelekiOuting ndo hutupeleki tena
Hehehehhee mbona kupatwa kwa haibaMwalimu haibaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri, ole wako usinilipe.
Hospital
Funguka dada!!Kuna mtu hapa nimempenda sijui nimfate PM [emoji23][emoji23]
Lakini Naogopaaaaaa [emoji85][emoji85][emoji126]
Nishasahau jamani ulikuwa wapi mda wote usiniulizeImefanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah...eiishhh!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
Njoo nikusaidieHivi hapa ndani hakuna wataalamu wa kunitolea hako ka imoji!? Msaada tafadhali, please....
Mie sio muoga.Hahahaha naweza nikawa muoga kweli ila najua sijakuzidi wewe aiseee
Mfate uko acha uoga mjeda unaitwa hukuKuna mtu hapa nimempenda sijui nimfate PM [emoji23][emoji23]
Lakini Naogopaaaaaa [emoji85][emoji85][emoji126]
NakujaUsije.
Khaaa!!!Bado wako busy na kuuza vitabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani na hako ka mwili sasa; easy to carry
Ngoja nimalize kibarua cha Boss nirudi kuangalia mwili wa kubebwa toka sebuleni mpaka chumbani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mama mchungaji nimecheka mnooo
Hapa nipo na natural zangu [emoji1732][emoji1732]View attachment 1256325
Mdogo etu sieWoyooooo mdogo etu cheupe [emoji8][emoji8][emoji8]
Uliona buana....sema we upo resi...kuna mod ako na jina la ActiveLini hiyo napitwa mimi nina siku mbili sijaingia humu
Hata sielewi mimi jamani
Mkuu ukitolewa emoji utanikimbia nimefanana na baba anguHivi hapa ndani hakuna wataalamu wa kunitolea hako ka imoji!? Msaada tafadhali, please....