Nipe tuu jamaniConnection utaipata tu
Hahaha tumuone baunsa juu mnene chini mwembamba
Mbona mchocheziii hivyoo
Usinisahau kwenye ulimwengu wako dadaNipe tuu jamani
Na mie nipate walau ya mboga
Shunie Knife!! Umdadisi.Huoni no uko za walioview thread
HallelujahHahaha tumuone baunsa juu mnene chini mwembamba
Mie nawazoom tuu aki, mtu na mtani wake!Ako mchokozi tu...
Umemjulia wapi we dadaNamjua
EwaaaaaaHebu sogea kwa wakala shap kwa haraka
Hivi ulinitag wapi mbona sijaona
HospitalUmemjulia wapi we dada
Atume na chini uko alivyovaa
Hospital ganiHospital
Hahaha eti eenhHahaha huko ku-guess unaweza jikuta umepatia
Bora ulivyokuja jana niliingia humu juu nilikuwa busy mnoo niliona umetupia picha ukafuta ebu rudisha ukawa unaitwa mjedaShunie Knife!! Umdadisi.

