Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thobotoo

Pep hajambo
Screenshot_20220729-175532_Instagram.jpg
 
Nlikua napika.... Nmekuja
Huwa natamani kukuongelesha ile lugha yetu ya kimataifa lakini tena nikikumbuka kuwa we ni wa kishua wala huijui basi naishia tu kusononeka kimya kimya 😁😁😁

Ūlīmhola? 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Basi endelea kutafuta hela didi ake😂

Ila kuna raha flani ya kufua nguo kwa mikono, usiwe tu umetoka kutengeneza kucha😅 utaichukia hyo kaz
Nzuri inauzwa sh ngapi? 😂😂 yan zile twin tub za laki 3,4 ni upuuzi, heri front loader

Hata niwe sijatengeneza kucha, kufua sipendi… napenda tu kusuuza 😅😅 nijimwagie mwagie maji tu
 
Nzuri inauzwa sh ngapi? 😂😂 yan zile twin tub za laki 3,4 ni upuuzi, heri front loader

Hata niwe sijatengeneza kucha, kufua sipendi… napenda tu kusuuza 😅😅 nijimwagie mwagie maji tu
Wee hata najua😂
Ila itakua mabei tu, maana vitu quality ni expee

Hahaaa mimi kufua ndio napenda ili nihakikishe nimeitakatisha nguo vema, af nakua nimekaa nimetulia....
Kusuuza hapana kwakwel maana kunachosha kuhama hama beseni moja to lingine.
 
Back
Top Bottom