Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂 nimesikia tap
Afu umeme umekata
Kwa jirani kunawaka

Ngoja nikaangalie MAin switch
Siwezi kulala na giza kubwa hivi

Mimi mpira jamani,, Wacha tu uniuweee
Jaman ni usiku tayari, kalale tu.

Jirani hafanyi kaz Tanesco?
 
Pole mkuu. Utakuja kuwasimulia wajukuu kuhusu hayo makovu uliyoachiwa. Tena wafunge kamba kuwa yalitokana na mapambano yako na simba na wanyama wengine wakali walipojichanganya na kuvamia ng'ombe uliokuwa ukiwachunga. Wajukuu utawasikia tu "kumbe we babu siyo mtu wa mchezo mchezo eeeh!"...Halafu wakikua kidogo utasikia babu yetu huyu kwa fiksi dah!
Hahah huyu wa kucha ameolewa jana na mjeshi.
Dogo alinipenda balaa hadi sendoof yake nilikuwa dereva wake.
 
Jicho la rohoni

Tege linaharibu sana, Depal njoo ulione View attachment 2324009
Hili mbona zuri

Langu la V kabisa sijui ni U -turn ile
Kikakumbuka matege yamechepuka utadhani River rejuvenation form 4 geography hakiyanani
Screenshot_20220812-222818_WhatsAppBusiness.jpg
 
Hivi kwanini main switch uwa inajizima??
Hapa ni mwendo wa kutembea ki spaida mpaka niikute ilipo 🙃

Lenie nisindikkze
Kiza hadi sijioni
🤣🤣🤣🤣 pole didi ake

Saa zingine kunakua na kitu kimesababisha shot, main switch inajizima.
Ila kama hua inajizima mara kwa mara muite fundi aicheki
 
Narudia tena Komaa kama ulikomaaaa kwenye ziwaa!
Acha kuvamia vamia watu wasiokuhusu wala kuwa effect katika life lako
Fanya yako yanayokuhusu na kila mmoja afanye yake!
Jiamini na u focus kwenye ishu zako sio kuingiza wasiohusika kwenye utumbokunuka wako msengerema type 1 wewee! Mmmxxxiiieeewww!!

Naenda kulala na sitaki kelele zako!!


Alamsiki!!
 
Daaah we kiumbe una nini?
Umekuniwa nazi?
🤣🤣😂😂😂😂! Nipo bushiiiiii hapa usiku ndani network Hakuna nimetoka nje napigwa na baridi ila sikomiii🤣🤣🤣
Nipate wapi rafiki nipo nimedoda tyu hapaa bushiii! Hauna mdogo wako unipasie mwana selfika Mwenzio???? 😉😉😉
Leo Sitoki hapa 🙇🙇🙇🙇
 
Back
Top Bottom