Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukitembea ukisimama yanayumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
Yaani matege yanahitaji moyo
🤣🤣🤣🤣 acha tu, me tege langu nishalizoea maana lilinitesa sana mwanzoni

Inabidi tu kukubaliana na hali, muhimu kulijulia jinsi ya kusimama ukiwa mbele za watu😂
 
Back
Top Bottom