Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku zote asiejiamini hutumia nguvu nyingiiii kutaka aonekane ! Mbaya zaidi anawaste tu wakati reality iko wazi waziiii! Hakika maajabu hayataisha duniani!
Asiejiamini sikuzote hupenda kujilinganisha! Na anapenda competition sana !
Siku zote anependa kukompete kazidiwa na anaona mtu fulani kwake ni threat!
Tuliza mshono kila mmoja ashinde mechi zake mbilikimo wa congo wewe!!
 
Hooouuuuuyeeeeeeeeeeee[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]! Au nikomae na mkanda mdogo wangu??? Nataka kiuno kama chakooo!! [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Shikilia hapohapo kwenye mkanda .
Mimi natafuta kitambi cha kufutia simu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha tu, me tege langu nishalizoea maana lilinitesa sana mwanzoni

Inabidi tu kukubaliana na hali, muhimu kulijulia jinsi ya kusimama ukiwa mbele za watu[emoji23]
Aisee kuna wale ambao tunao ya jumla jumla.
Wengine nyie hadi mtu apige na jicho la rohoni.

Sisi wa ya jumla yaani kitu clear kabisa ..haiitaji jicho la rohoni.
 
🎼🎶Akina Carrymastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena
yani mpaka asubuhiii🎶🎶🎼🎵🎵🎵 🤸🤸🤸🤸🤸💃💃🤸💃🤸💃💃🤸🤸🤸🤸💃🤸
Dj waleteeeeeeeeeeeeee waleteeeeeeeeeeeeee!!
Hivi tunaruhusiwa kuimba humu 😂😂🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭???????
cocastic jamaniiii
Daaah we kiumbe una nini?
Umekuniwa nazi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumbooo tatizo tumboo linaumaaa!! Mi nauacha asee watanipenda hivihivi na kitambi changu [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji6][emoji6][emoji6]
Umeharibu sasa kutoa

Lingeuma siku chache baadaye linapoa.
 
Back
Top Bottom