Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Weeeee🙌🙌🙌🙌 Nilikua nashinda masaa yote kama nimevimbiwa uwiiiiiii!! Nimeushindwaaa🙌🙌🙌🙌!!Umeharibu sasa kutoa
Lingeuma siku chache baadaye linapoa.
Weeeee🙌🙌🙌🙌 Nilikua nashinda masaa yote kama nimevimbiwa uwiiiiiii!! Nimeushindwaaa🙌🙌🙌🙌!!Umeharibu sasa kutoa
Lingeuma siku chache baadaye linapoa.
Unalisema tu vibaya 😂😂😂 ila kiuhalisia halijakaa vibaya ya kutishaHili mbona zuri
Langu la V kabisa sijui ni U -turn ile
Kikakumbuka matege yamechepuka utadhani River rejuvenation form 4 geography hakiyananiView attachment 2324012
Ndiooooooo!! Mtoto hips hips hHili mbona zuri
Langu la V kabisa sijui ni U -turn ile
Kikakumbuka matege yamechepuka utadhani River rejuvenation form 4 geography hakiyananiView attachment 2324012
Fungua app kama Mange tupige pesa, una kipaji mtoto mzuri...Selfika ni ya wana jf wote wewe ndie umeguswaa nahio komenti?? Punguza kimbelefront kinuka mkojo weweee!! Kwanza umepatikana malayaa vamiavamia wewe utakuja ambukizwa gonorea Mtoto mdogo wa kujikojolea kitandani kabisa shenzeeeeee!!
Jifunze kubalance shobooo!!Mxieewww!!
Nae analo? Basi atakua twin wangu kuanzia leo🤣🤣Kama la BM 😂😂😂
Mbona tu liko sexy? Ndio kwanza leo naliona
Mabaharia naona mnaendeleza kikao chenu cha jioni 😉😉!Hukumla hiyo siku ya send-off? 😁😁😁
Bado...leo kakwamaAfadhali nipunguze hasira za Antony na Epl yake
KB katupia?
La SA kama la yule crush wako wa zamani 😂😂Nae analo? Basi atakua twin wangu kuanzia leo🤣🤣
Lipogo shost, sema hua nalisahau sometime😅
Sina rafiki ambaye yuko singo 😂
Halafu miguu yetu imechanua huku mbele kama inasalimiana visigino.
Ila umependezakiportable
Hapo inatakiwa ulijulie ukipiga picha za hivyo unaliset tege linakaa vzuri inaonekana kama pozi flan hv
Nishapita tena kama nilivoooo!!TuzuIliwe na nani dada
Hv ushapita hebu irudie bas







Toa emojiHili mbona zuri
Langu la V kabisa sijui ni U -turn ile
Kikakumbuka matege yamechepuka utadhani River rejuvenation form 4 geography hakiyananiView attachment 2324012
Nimeshindwa kupata picha 🤣Halafu miguu yetu imechanua huku mbele kama inasalimiana visigino.
Mimi nilishaanza kusalimisha vidole kwa mbele ..
Vile visigino kusalimiana nimeanza kupambana kwa nguvu kuondoa.
Wanawake wote wako singo hadi watakapoolewa.Sina rafiki ambaye yuko singo 😂