Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Uwiiii
Uzi umetetema kama nyavu za simba jana
Shepuuuuu
Uwiiii
Marahaba jirani, sijambo kabisa.Jijambo jirani..
Vipi wewe hujambo?
Shkamoo..
Not only wave 🤣 iga utoke na vitu vya ajabuAah sawa, ilikolea hatari😍😍
😂😂😂 mtu unaweza piga keleleHizi ndio malii za ukistuka usingizini iko pembeni unaishangaa .
Oooh now ndio nimeielewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 hujawahi ona hiyo memes? Kwamba nimekunywa piritoni na kahawa ili akili ichanganyikiwe kati ya kulala na kuamka?
wee mkanda umenishinda mdogo wangu Tumbo Lilikua linaumaaa khaaa Naomba nibaki kwenye kubalance tumbo kwa diet tu mkanda 🙌🙌🙌🙌🙌!!Ule mkanda boss ledi uachie tuone maendeleo ya kutokomeza tumbo
Unajikutaaa😂😂 si uniambie full detailsNot only wave 🤣 iga utoke na vitu vya ajabu
Unapenda ligi ee
Una hela?Unajikutaaa😂😂 si uniambie full details
Naaah inakufanya usahau shida za dunia.😂😂😂 mtu unaweza piga kelele
Hapana namwita aje aselfike banaaa kwani lini tumeanza katazana kutag watu humu lakini???🤣😂😂😉😉😉😉😉!!Unapenda ligi ee
Unauliza weusi kwa BK?Una hela?
Nitakufinya unalijua hiloHapana namwita aje aselfike banaaa kwani lini tumeanza katazana kutag watu humu lakini???🤣😂😂😉😉😉😉😉!!
Leo Sitoki hapa 🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Nipo bosi wangu.
Yaani wewe😂😂😂Huwaga naona kama yanayumba sijui
Kuna muda nikisimama nayaweka upande mmoja hahah!
Nimecheka hadi nimehisi maini yamecheza 🤣🤣🤣🤣🤣Unauliza weusi kwa BK?
Njema kaka.Za siku kidogo bro?
Kwema huko kwako?