Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Eeh ila wanafanana kuanzia sauti, mwili adi visuraDon’t tell me nimewamix 🤭
Eeh ila wanafanana kuanzia sauti, mwili adi visuraDon’t tell me nimewamix 🤭
Akili imejipiga screenshot kati ya kulala na kukesha, si nilikunywa piritoni na kahawa ⛹️Eeh ila wanafanana kuanzia sauti, mwili adi visura
Nipe siri nikupe kingereza, tena saivi kipo freshhh maana nilikiandaa kwa ajili ya kuanza nacho week kesho😂Buku hata vocha haitoshi vizuri 😂
Nipe kingereza tu niende kwa waingereza wenzangu instagram
Bageshi.Nipe siri nikupe kingereza, tena saivi kipo freshhh maana nilikiandaa kwa ajili ya kuanza nacho week kesho😂
BT hatari sanaAkili imejipiga screenshot kati ya kulala na kukesha, si nilikunywa piritoni na kahawa ⛹️
Maliii.🙇🙇🙇🙇
Anyone with popcorn pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Tuchat na picha wapendwa
Huyu dada huwa ananitia moyo wa kuachia matege yangu kwenye kimini.Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani hujamboHuyu dada huwa ananitia moyo wa kuachia matege yangu kwenye kimini.
Wanaita tege sex 😋Huyu dada huwa ananitia moyo wa kuachia matege yangu kwenye kimini.
Ule mkanda boss ledi uachie tuone maendeleo ya kutokomeza tumbo[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Anyone with popcorn pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Tuchat na picha wapendwa
cocastic Lovelovie @PauBae Carrasco putin Mjep sophy27 Shimba ya Buyenze
Hizi ndio malii za ukistuka usingizini iko pembeni unaishangaa .Ni wave tu bana 🤣
Sahivi nazichana kawaidaView attachment 2323988
Huwaga naona kama yanayumba sijuiWanaita tege sex [emoji39]
So uwa unaogopa? [emoji23] utoto huo, be proud of yourself as GOD made you [emoji177]
🤣🤣🤣😂 hujawahi ona hiyo memes? Kwamba nimekunywa piritoni na kahawa ili akili ichanganyikiwe kati ya kulala na kuamka?BT hatari sana
Mhola doho😁😁Bageshi.
Ūlīmhola? 🖐🖐🖐🖐
Aah sawa, ilikolea hatari😍😍Ni wave tu bana 🤣
Sahivi nazichana kawaidaView attachment 2323988
Umepatia aisee. Sijui umejifunzia wapi yaani. Leo atalia fisi 😁😁😁Mhola doho😁😁
Nimepatia kuiandika bageshi?
Ukishajijja, hata wakati wa kusimaa kuwa makini… kuna mwingine akisimama bila taadhari waweza hisi miguu itavunjika 🙈Huwaga naona kama yanayumba sijui
Kuna muda nikisimama nayaweka upande mmoja hahah!