Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Nasikia wakiongeaUmepatia aisee. Sijui umejifunzia wapi yaani. Leo atalia fisi 😁😁😁
Last 2 months nimeishi na wasukuma ndani basi nimedokoa dokoa kiasi😅
Nasikia wakiongeaUmepatia aisee. Sijui umejifunzia wapi yaani. Leo atalia fisi 😁😁😁
Kwema sana mkuuNipo bosi wangu.
Za muda kidogo?
Kwema huko na wapendwa wako?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka hadi nimehisi maini yamecheza 🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi, wewe na Carleen tukikaa mezani,, hapana mtu ataonekana yuko na akili timamu 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halftime..RM wamepigwa 1 jiraniBenzema leo napo anangoja zile bahati zake za kufunga dk za mwisho mwisho??
myoyambendi
Saint Anne umewaona blues leo? Pira birianiii 🔥 achana na ile mbuzi Antony ametuhujumu vibaya 😫
😆Umeanza kusinzia embu fanya ulale 😀
We dogo upoo😂Umeanza kusinzia embu fanya ulale 😀
🤸🤸💃💃💃💃💃💃💃🤸💃🤸🤸🤸 Niwache niwacheeeee!! Nushagongea vocha humu aaaaaaarhhh maisha bareeeeeeeedaaaa kabisa 🙇🙇🙇🙇🙇🙇!Nitakufinya unalijua hilo
Yaani..Ukishajijja, hata wakati wa kusimaa kuwa makini… kuna mwingine akisimama bila taadhari waweza hisi miguu itavunjika![]()







Akili timamu za nini maisha mafupi haya🤣🤣Mimi, wewe na Carleen tukikaa mezani,, hapana mtu ataonekana yuko na akili timamu 😂😂😂😂
Nipo brazaWe dogo upoo😂
Safiiii jirani..
Naona…Halftime..RM wamepigwa 1 jirani
Muone alivyo kwanza...hebu jibu basi?🤸🤸💃💃💃💃💃💃💃🤸💃🤸🤸🤸 Niwache niwacheeeee!! Nushagongea vocha humu aaaaaaarhhh maisha bareeeeeeeedaaaa kabisa 🙇🙇🙇🙇🙇🙇!
Za huko kwenu jiraniMarahaba jirani, sijambo kabisa.
Umenitenga kiainaNipo braza