myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
🤣🤣Za huko kwenu jirani
Sisi mbeya tuna mechi na baridi.
Hadi sasa baridi 3 sisi 0
🤣🤣Za huko kwenu jirani
Sisi mbeya tuna mechi na baridi.
Hadi sasa baridi 3 sisi 0
Emu tuone hiyo namna🤣🤣Yaani..
Siku hizi huwa naiachia hahah!
Maana katikati lazima gap libaki.
Sema kuna namna inakuwaga mizuri ikikaa upande mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
Kiuno nyigu hoyeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji2533]wee mkanda umenishinda mdogo wangu Tumbo Lilikua linaumaaa khaaa Naomba nibaki kwenye kubalance tumbo kwa diet tu mkanda [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
Niunabanaaa uwiiiiii!!
Nyie mtu mbili kuna sms mnatumaga, mtu inabidi uweke simu kando, uchekeee ukimaliza ndio urudi kujibuAkili timamu za nini maisha mafupi haya🤣🤣
Acha basi..wewe ndiyo umenitenga Mimi ujueUmenitenga kiaina
Sijui imekuaje....
kibwengo,emolo,mbilikimo haa haaa.Tena shika adabu yako na ukome kuvamia vamia watu na ujiamini kibwengo wewe!!Mmxxxxxxxxxxxxxxiiiieeewwww!!
Njoo basi nahisi baridi😅Acha basi..wewe ndiyo umenitenga Mimi ujue
Ukitembea ukisimama yanayumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unachochea kunikibwengo,emolo,mbilikimo haa haaa.
Abeeeeeee kakaa!!
Mi sijui hata nini kinaendelea chief.Naona unachochea kuni
😂😂😂 raha jipe mwenyew.Nyie mtu mbili kuna sms mnatumaga, mtu inabidi uweke simu kando, uchekeee ukimaliza ndio urudi kujibu
Bro chemsha chai unywe upate uvuguvugu..😂😂😂Njoo basi nahisi baridi😅
Nitaangalia marudio keshoBenzema leo napo anangoja zile bahati zake za kufunga dk za mwisho mwisho??
myoyambendi
Saint Anne umewaona blues leo? Pira birianiii [emoji91] achana na ile mbuzi Antony ametuhujumu vibaya [emoji31]
Haisaidii nahitaji kumbatooBro chemsha chai unywe upate uvuguvugu..😂😂😂
Hooouuuuuyeeeeeeeeeeee🤸🤸🤸💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃! Au nikomae na mkanda mdogo wangu??? Nataka kiuno kama chakooo!! 👌👌👌👌👌Kiuno nyigu hoyeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji2533]
Ni nini mdogo wangu mbona nakuona wa moto sana?? Kulikoni? Hebu tulia basi?Abeeeeeee kakaa!!