National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Huyo ni paka ( cat ) hana usimba wowoteSio mbaya
Kumbuka Simba atabaki kuwa Simba,
Simba
![]()
Huyo ni paka ( cat ) hana usimba wowoteSio mbaya
Kumbuka Simba atabaki kuwa Simba,
Simba
![]()
💯💯Uongo katika maana ya prototype, ila ni kweli ni vitu vinavyo endelea kila siku kwenye maisha ya dunia hii. Kuna move majuzi niliangalia ya jamaa wa NSA, ni movie ila ni ukweli unafanyika kwenye idara za ICT za ma kampuni makubwa
Ahsante sana, ushunguuuuu sanaEyyyyyy!!!
Pole nyingi ziwaendee washabiki wa 🦁
Sio kwa confidence waliokuwa wanaionyesha watu wangu mchana.🥴
Jf nimetuma sana request ya reset password wiki mbili imegonga mwamba. Sijui sasa hivi system yao ina nini.. kwanza ipo level ya juu kweli kwenye seurity kajambo kadogo inakutoa out 😀😀😀Mkuu umebadili ID, nilikua najiuliza huyu ni nani? na anataka nini? 😁😁
Kwani hii ina end to end encryption?Jf nimetuma sana request ya reset password wiki mbili imegonga mwamba. Sijui sasa hivi system yao ina nini.. kwanza ipo level ya juu kweli kwenye seurity kajambo kadogo inakutoa out 😀😀😀
Hapana hii sio end to end, ila system yao sasa hivi ipo very sensitive. Issie ya ku reset password ni kutuma link ila wiki mbili naomba ku reset sijapata link. Kitabu kinaendaje lakini ?Kwani hii ina end to end encryption?
Safi kabisa mkuu, ubgejaribu kuwa contact Mods PM itakuwa rahisi zaidi.Hapana hii sio end to end, ila system yao sasa hivi ipo very sensitive. Issie ya ku reset password ni kutuma link ila wiki mbili naomba ku reset sijapata link. Kitabu kinaendaje lakini ?
Python inaendeleaje? 🙂Hapana hii sio end to end, ila system yao sasa hivi ipo very sensitive. Issie ya ku reset password ni kutuma link ila wiki mbili naomba ku reset sijapata link. Kitabu kinaendaje lakini ?
Hili ndio wazo ambalo sikuwahi lifikiria acha nifanye hivyo hapa sasa hivi dah. Asante sana sikuwa nimewaza kabisa hiliSafi kabisa mkuu, ubgejaribu kuwa contact Mods PM itakuwa rahisi zaidi.
Naendelea nayo mdogo mdogo ku develope vi script vya scan networkPython inaendeleaje? 🙂
Safi mkuu, kampuni nyingi sana Africa zinakuwa hacked lakini hawasemi public, fani nzuri na kuna uhitaji mkubwa....Naendelea nayo mdogo mdogo ku develope vi script vya scan network
Sawa banaHuyo ni paka ( cat ) hana usimba wowote
SawaMi Simba lakini ndio mpira tukubalini matokeo

Africa nchi nyingi bado hazioni kama data ni kitu muhimu sana, ni kwa baadhi ya taasisi ndio zinaona umuhimu wa data na ndio zime invest millions of dollar kwenye ICT - Security. Ila nchi kama nchi nyingi bado zipo nyuma sanaSafi mkuu, kampuni nyingi sana Africa zinakuwa hacked lakini hawasemi public, fani nzuri na kuna uhitaji mkubwa....
Pamoja mkuu.National Anthem anthem baadae kidogo kaka mkubwa...