Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Clues
1. Baada ya little research nimegundua yeye hayupo kwenye waliobadili ID.

2. Kwenye majina yote mliyotaja, na yeye mmemtaja tayari humo.

Naomba nisiulizwe swali jingine. Wala msisort hayo majina. Kila mtu abaki na lake
Kumekuchaaaaaaaaa!!!!
DJ waleteeeee,
 
Weee Brian Spilner acha uongoooo!! Sasa kama sio kuwashwa huyo mrembo alifata nini kama hela hunaa sio Tall dark handsome alifata nini cha sasa??!! Alifata neneeeeee??? Lipuaaaaa
Mimi ni short, black, broke, yaani broke kweli kweli na uglier.
Ila alikuja na alinikosea. Ila hakuwashwa, wala hakujitongozesha
 
Back
Top Bottom