Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Haya sina deniHujaomba ujue?? Haya voda wawili mie na Depal coca ye Halo!!


Haya sina deniHujaomba ujue?? Haya voda wawili mie na Depal coca ye Halo!!


Sijambo jirani....Kwenu je.Nakusabahii jirani myoyambendi
Wee nimekosa aisee zote amewahi mtu mmoja halafu mnajishaua hamna njaa kumbe vocha mnazitaka nyumbu nyiee mmmxxxiiieeewww!!! Brian Spilner nimekosaaa kuna mseng.e anaishia na 14 kabeba zote
Nilidhani ni wewe 😂😂😂😂Wee nimekosa aisee zote amewahi mtu mmoja halafu mnajishaua hamna njaa kumbe vocha mnazitaka nyumbu nyiee mmmxxxiiieeewww!!! Brian Spilner nimekosaaa kuna mseng.e anaishia na 14 kabeba zote
Depal nirudishie buku yangu ukute niwewe??😎😎😎 Wewe wa kishua hunaga shida ya vocha nirudishie buku yangu basi!!Nilidhani ni wewe 😂😂😂😂
Sema dada una maneno aisee 🤔
Inaonyesha wewe kupanick ni ndani ya sekunde 1 … don’t be that,, we ni wa mwanamke.. haipendezi sana
Unaweza jisahau ukamtukana mtoto tusi kubwa…
Sorry kama nimepitiliza 😊
This is chitchat bana mie nataka vochaa hayo mengine sitaki jua!!Nilidhani ni wewe 😂😂😂😂
Sema dada una maneno aisee 🤔
Inaonyesha wewe kupanick ni ndani ya sekunde 1 … don’t be that,, we ni wa mwanamke.. haipendezi sana
Unaweza jisahau ukamtukana mtoto tusi kubwa…
Sorry kama nimepitiliza 😊
Imekula kwangu leo!! Brian nimeliwa vocha mchana kweupeeee!!🤣🤣🤣 sina namba inayoishia 4.. wenye namba yangu waende kuangalia
Lenie
Aisee....Sijui imebebwa na nani… mie sina 😂😂 View attachment 2313008
Watu waseee sana kujifanya sio ombaomba Kumbe njaa kali ka mie tu hapa!!! Shenzeeeeee!!Sijui imebebwa na nani… mie sina 😂😂 View attachment 2313008
🤣🤣🤣Watu waseee sana kujifanya sio ombaomba Kumbe njaa kali ka mie tu hapa!!! Shenzeeeeee!!
Abee jirani yanguAisee....
Jirani pumguza hasira, Binadamu hawako sawa. kuna watu hawaposi lakini wanasubiria vocha wakimbize..Watu waseee sana kujifanya sio ombaomba Kumbe njaa kali ka mie tu hapa!!! Shenzeeeeee!!
🤣🤣🤣🤣🤣😎😎! Nacheka kwa masikitiko 🤣🤣🤣😎
Kwahio nisubiri unanikompasetia kaka ??😎😎😎Jirani pumguza hasira, Binadamu hawako sawa. kuna watu hawaposi lakini wanasubiria vocha wakimbize..
🤣😂😂🤣 sasa wanaochukua si waje kusema asante🤣🤣🤣🤣🤣😎😎! Nacheka kwa masikitiko 🤣🤣🤣😎