Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Sijamchafua kwasababu sijamtaja.Mpaka hapo ushamchafua tyu wee malizaaaa kiekewekeee bro !! Alifata nene cha kiwaki wenawe??
Sijamchafua kwasababu sijamtaja.Mpaka hapo ushamchafua tyu wee malizaaaa kiekewekeee bro !! Alifata nene cha kiwaki wenawe??
Sasa si mngeyamaliza kimya kimya Wenawe??!!! Umeamua kulipua lipuaaaaaa tupate ubuyu sie!!Mimi ni short, black, broke, yaani broke kweli kweli na uglier.
Ila alikuja na alinikosea. Ila hakuwashwa, wala hakujitongozesha
Unazenguaaaaaaa!!Sijamchafua kwasababu sijamtaja.
We unakoelekea, tuishie hapa.Sasa si mngeyamaliza kimya kimya Wenawe??!!! Umeamua kulipua lipuaaaaaa tupate ubuyu sie!!
Lipuaaaaaaa😎😎😎😁😁We unakoelekea, tuishie hapa.
Na Mie Naomba vodaaa!!Hutaki kugombania hapa na wenzio?
Niko hapaAkirudi mwenzio uniambie mzigombanie hapa.
Na cocastic kakimbilia wapi?Niko hapa
yangu Voda yeye halotel wee niwekee yangu nilale mbelee!!Akirudi mwenzio uniambie mzigombanie hapa.
Kwa hisani ya Mjep popote alipo
Hujaomba ujue?? Haya voda wawili mie na Depal coca ye Halo!!Niko hapa
Huyo yake halotel fanya chap nikahangaike na maisha broo!!Na cocastic kakimbilia wapi?
Sasa je !! mwanamke wa kujipelelapeleka hafai hata kwa kulumangia!!. Hata kutongozwa enyewe inabidi ulete ugumu kidg. Sitaki nataka.
Nmeutoa huko Facebook mkuuDaaah huu mpicha umeuokotea wap![]()
Nimependa hio vikuku kwenye mguu Ila wanawake wanavaa vikuku miguuni mpka mtandao wa tigo wanatumia



Naelewa naelewa mkuu kule kwenu Zimbabwe eehMwanaume kuwa mfupi ni kosa la jinai huku Zimbabwe ukiwa mfupi unakamatwa
Ndo manakeWanawake flat portable ndyo wapo wengi duniani afu wanawake portable ndyo wana akili sana Ila wambeya sana wakorofi wabishi kuachwa