Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤗🤗🤗
AE1YiE.jpeg
 
Jamani taratibuu...
Watawashika mashati tushindwe kuamulia.
Hawa wako innocent, please
So nani yuko machachari humu zaidi ya Depal Coca Anne
Jamani taratibuu...
Watawashika mashati tushindwe kuamulia.
Hawa wako innocent, please
Humu machachari ni Coca Depal na Anne!! Kati Nani hao Nani sasa?? HS sio machachari BL sio machachari Yna Joan Tina umesema ni innocent!! Nani sasa??
 
So nani yuko machachari humu zaidi ya Depal Coca Anne
Humu machachari ni Coca Depal na Anne!! Kati Nani hao Nani sasa?? HS sio machachari BL sio machachari Yna Joan Tina umesema ni innocent!! Nani sasa??
🤣🤣🤣🤣 Miss buza ni machachari
 
So nani yuko machachari humu zaidi ya Depal Coca Anne
Humu machachari ni Coca Depal na Anne!! Kati Nani hao Nani sasa?? HS sio machachari BL sio machachari Yna Joan Tina umesema ni innocent!! Nani sasa??
nimecheka mno.
 
Kweli tena!! HS yuko bize na nasaha zake za Dini na malezi Bosi Ledi bize na picha hana maneno na mtu Yna Joan strawbella etc wanaingia kwa kubip T hana mapepe Viroporopo humu ni D A na C au nasema uongo ndugu zangu?? Brian acha uongooo unawazulia watu uongoooooo Brian!
hatareeeeeeh tupu. Woiiiiih
 
Najua mnasema ivo ili nimtaje, namimi sitaweza kumtaja. Ila clue nimetoa
 
Kweli tena!! HS yuko bize na nasaha zake za Dini na malezi Bosi Ledi bize na picha hana maneno na mtu Yna Joan strawbella etc wanaingia kwa kubip T hana mapepe Viroporopo humu ni D A na C au nasema uongo ndugu zangu??😁😁😁😁 Brian acha uongooo unawazulia watu uongoooooo Brian!
Ni mie jamani ndio nilimfata pm 🤣 Coca alinisindikiza hadi stend

Huyo A ni nani tena 🤣🤣
 
Back
Top Bottom