Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Kwa nn haipendezi mkuuHaki
Haipendezi
Kwa nn haipendezi mkuuHaki
Haipendezi
ooh am sorry my dear... godspeed recovery for her[emoji1431][emoji1431][emoji1431]Mkuu nakwambia afya ni muhimu sana kuliko ndoa yenyewe..... Me nmeishi hospital kumuuguza aunt yangu hii ni week ya tatu... Nmejua afya ni muhimu sana kuliko chochote kile
hio ya Zamani weka ya leo!Nimekuwa mmama siku hizi[emoji16]View attachment 2302473
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ehh bwana yesu kristo ushiriki ubinadamu wetu kwa hiari yako upate kumponya mgonjwa na kumuokoa, umjalie afya ya mwili na roho mfariji kwa Kinga yako mpe nafuu kwa nguvu yakoMkuu nakwambia afya ni muhimu sana kuliko ndoa yenyewe..... Me nmeishi hospital kumuuguza aunt yangu hii ni week ya tatu... Nmejua afya ni muhimu sana kuliko chochote kile
Nipo hapa shoganguuuuu!!!Antonnia
Shougaaaaaaa angu, uko wapiiiiii?
Baadae uwe online, tsup nna jambo langu nataka niwafurahishee fans wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nasubir mda wa ilee wazazi wamelala.
Nafanyaa mambo yanguuu.
cuzooo wako huyo Hata Sijui alikua anaongelea nini sikuhizi kichwa changu kimejam shosss 🙆🙆!!😘😘[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee eti nn???
Tumefanyeje cuzoo ake!!Nyie watoto washangaz nyie
Weee jana niliweka ujue uliiona???Antonnia hi mic u tupia kamoja la chakula Cha jion
Ndati unazijua 😀😀😀 Haya matunda huwa yana majina tofauti tofauti kutokana na maeneo matamuNtonga tena sio vibungo 😀😀😀
Hapana sijui hizoNdati unazijua 😀😀😀 Haya matunda huwa yana majina tofauti tofauti kutokana na maeneo matamu
Love quotes[emoji847]Niambie wataka nini
Mistari
Beautiful love quotes
Vumbi?Kapigwa kwenye mshono
Bila vumbi
Kavu kavu yaani
Screenshot yanini weka direct from Gallery achana na shots!!! Kama ile ya juzi ya mtandio wa kuficha tumbo!!