raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,821
- 36,798
πππππππEmu selfika π
Yaani nipo jf toka 2015 sikuwahigi kucomment nimeanza juzi nilikua mtu wa kusoma tu sasa selfie daaaaah
πππππππEmu selfika π
Selfika bana, acha kujitetea plsπππππππ
Yaani nipo jf toka 2015 sikuwahigi kucomment nimeanza juzi nilikua mtu wa kusoma tu sasa selfie daaaaah
Challenge accepted πππSelfika bana, acha kujitetea pls
Nyie watoto washangaz nyieMaana yake ni kuweka picha full hadi sura yote!!
Unaogopa kwanini? πChallenge accepted πππ
Ila unajua naogopa sana kujiweka mtandaoni πππ
Acha zako weweeee π€£π€£π€£Unaogopa kwanini? π
Emu selfika chap, afu unafuta
Kweli mkuu π₯ΊAcha zako weweeee π€£π€£π€£
Siku nyingine πππKweli mkuu π₯Ί
Moja basi tulaleHamna alienimiss?
Unakwama πSiku nyingine πππ
Dada mrembo[emoji7][emoji3059]Unafanya kama hiviView attachment 2301596
Tupia ya kwako nishushie hii black ice hapa ππππUnakwama π
Rudi hapo juu kdg ipoTupia ya kwako nishushie hii black ice hapa ππππ
Wow sio ya mtu hii πππUnafanya kama hiviView attachment 2301596
Beautiful.Unafanya kama hiviView attachment 2301596
Ila ndio msukumo wa kusuka sina ππBeautiful.
Pendeza ukisuka
Baki hivyo bado wapendezaIla ndio msukumo wa kusuka sina [emoji1][emoji1]
ππππ
Tumekumis dear...... Tupia moja ya chakula cha jion[emoji847][emoji847]Hamna alienimiss?