Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 670
- 2,278
Maana ya( NAKED)
Yani hapa nipo hoiii msukuma nimechoka mnoo!!! Ngoja niangalie angalie hapa kama ntapatamo!!Pole Bosi Ledi
Itakubidi ulale mapema...
Gauni la mtoko kesho labda
Maana yake ni kuweka picha full hadi sura yote!!Maana ya( NAKED)
🤣🤣Good for you
Njema sana mkuu!! Vipi wewe huko!!
Jirani 😁😁
Jirani unajua mchezo wa gololi..hata mimi.Sielewagi hiyo michezo
Mie gololi tuuu 🏄♂️
Twende tukachezeJirani unajua mchezo wa gololi..hata mimi.
Aisee....mpe salamNilikuwa naongea na mshua kwa simu ndogo huku naperuzi hii page,, nimekutana na neno ‘dungu’
Nikajikuta cheko limeniponyoka, mshua akauliza vipi 🤣🤣🤣🤣🤣
Nakuja kesho...weekend na gololiTwende tukacheze
Sawa 😁😁Aisee....mpe salam
😁😁 nitakufunga balaaNakuja kesho...weekend na gololi
Inaonekana ulikuwa mkali sana wa kulengaTwende tukacheze