Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjukuu kazi za Shamba zimenibana kiasi, ngoja nimalizie kuvuna soon nitarudi hewani mkininunulia Miwani ya macho

Miss you more Mjukuu
Huo mchanganyiko ni balaa.... Sina ham nao.... Jumapili iliyopita hangover siku tatu......
 
Acha kukufuru tubu binti mwanamke kuolewa muhimu kwa mwanamke
Mwanamke usipoolewa unatengeeneza laana katika ukoo
Mwaka huu hauishi nakuoa

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mkuu nakwambia afya ni muhimu sana kuliko ndoa yenyewe..... Me nmeishi hospital kumuuguza aunt yangu hii ni week ya tatu... Nmejua afya ni muhimu sana kuliko chochote kile
 
Back
Top Bottom