Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Akiyanani ameupiga mwingiHahaha hajanipa kitu
![]()

Sema maisha ni haya haya..
Tufurahie

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Akiyanani ameupiga mwingiHahaha hajanipa kitu
![]()

Nakushangaa
Hahahaha aiseeAkiyanani ameupiga mwingi
Sema maisha ni haya haya..
Tufurahie
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Sawa usijali kabisa
La mchongoShape lenyeewe Girokonto mixer mihiriki shape la kumwagilia moyo
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwanza mm mpenzi wangu akiwa na bodaboda wake tunaachana
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app

me Nina boda boda kama 6 utaniacha

Mnunulie Nissan Dualis basi asahau hao boda boda .
Mwanamke una bodaboda sita toka pepooooo ushindweeeeeeme Nina boda boda kama 6 utaniacha
![]()
Mm mwenyewe miguu yangu Nissan apambane na hali yake tu Ila siyo kuwa na bodaboda wakeMnunulie Nissan Dualis basi asahau hao boda boda .

Ni mimi dear
Boss kubwa fanya apate ndingaMm mwenyewe miguu yangu Nissan apambane na hali yake tu Ila siyo kuwa na bodaboda wake
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mwambie shemeji afanye halotel basiBoss kubwa fanya apate ndinga
Boda boda huwa wanasaidia baadae anakuwa mshikaji wako .