Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah!
Ule mtandio unakinga baridi[emoji23]

Halafu Sina masweta tatizo.

Kumbe picha ilikuwa tata?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado bado sana aisee...kuwaleta akina Junia ni hadi nipate hela.View attachment 2302640

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Umekuaa!! umepoa umebadilika sana!! Kweli uchumba sio mchezo!!!
 
Ehh bwana yesu kristo ushiriki ubinadamu wetu kwa hiari yako upate kumponya mgonjwa na kumuokoa, umjalie afya ya mwili na roho mfariji kwa Kinga yako mpe nafuu kwa nguvu yako
Msaidie atumaini kuokoka kwa njia ya mateso kama ulivyotufundisha kutumaini hapo ulipoteswa kwa ajili yako [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Amen
 
Umekuaa!! umepoa umebadilika sana!! Kweli uchumba sio mchezo!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi huyu nipoe?[emoji23]
Mchawi bando tu dear na shughuli za hapa na pale .

Hakuna cha uchumba,,mimi ni mitano Tena[emoji23][emoji110]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom