Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Wa Kyela mjini
Mweeeeh!! Wanyaki wepi labda mwawaongelea![]()
Mweeeeh!! Wanyaki wepi labda mwawaongelea![]()
Hiyo mifano bora angemwacha saint tu.mmhh huyo wa kwanza nina uhakika umeamua tu kumpaka mafuta kwa mgongo wa ben pol
We kweli furushi, na yule mwenzio alotapeli watu maana hili neno linakuuma kweli.





Nawe mwalimu?Wacha wee.
Madam mwenzangu![]()
Basi hakuwa furushi kweli ndo maana alikuwa alipendiMlikuwa wageni wote na ndio watu hilo neno lilikuwa linawasumbua sana.
HakikaOoh yeah, ona mwandiko wa Karma Heaven Sent Saint anne
Vile wakiandika kwa ukarimu utafikiri umefika mbinguni kwa baba, sasa unaoneshwa wapi chumba utakuwa unaishi

Ukute na hii ya Sasa imekupitaSana tuuu

Duuh huyo sinjui kabisa
Sasa sio furushi kwanini limuume wakati halimuhusu?Basi hakuwa furushi kweli ndo maana alikuwa alipendi
Ila ukiwa furushi kwelikweli kama Mimi ni kawaida tena unacheka tu ukiuona huo msamiati
Huyu ako na shida.Ukute na hii ya Sasa imekupita![]()
Na wasafwa wanapatikana wapi?
Hizo mbona hata huku kwetu ileje zipo.
mmhh huyo wa kwanza nina uhakika umeamua tu kumpaka mafuta kwa mgongo wa ben pol






Ooooh!! Ndio maana wanaitwa wakata miwa?Wasafwa ndiyo wenye Mbeya mjini sasa,, japo wao wamebase sana kwenye kilimo kwahiyo huwa hawapendi kukaa mjini wanakaa milimani huko na kwa mkoa wa Mbeya wengi wako Chunya huko
Ndiyo madameNawe mwalimu?

Zipo huku ileje, njoo uzione.Hehehe...
Tz tukijakuwa nazo hizo, bula shaka nitakuwa naishi mkoa mwingine na kufanya kazi zangu mkoa mwingine...



Una matatizo wewe, tena nilikuquote wewe ili uone
Basi tena, tusibiri wiki ijayo.
Hapana, ipo.