Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio underground au subways au metro...

Ni cross country train kabisa, yaani mkoa hadi mkoa inakuwa inatembea on its top speed walau 350km/hr...
Yeah zile mara nyingi ni subways au underground na vichwa vyake na mabehewa yake siyo kama haya yanayoyumbayumba,, but itakuwa haupendi kusafiri tu kwa mtu anayependa kusafiri 15 days from Dar to Capetown is just like a minute ila hiyo nauli yake sasa ni ada ya IST tena kwa mwanafunzi wa chekechea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wewe ni mpole?? Kwamba hauchapi kabisa??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa.

Kuna mama alimleta mwanae shuleni(anamsumbua sana) akamkabidhi kwangu nimsaidie kumnyoosha. Sasa alikuja na mdogo wake, mdogo wake akamuuliza "hivi huyu mwalimu mpole hivi ndio unamkabidhi huyu chautundu atamuweza kweli?" Walimu wengine kusikia hivyo acha wacheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787]Saint anne siyo vizuri,, unajua kabisa wewe ukisema hafanyi kweli halafu ndiyo unanikandia badala ya kuniombea?? Wewe wa kunifanyia hivi mimi kweli?? Daah
Nilijua tu Kuna mtu ataachwa na gari yupo stand[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Woyooo
Atoto Leo usiweke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
 
Back
Top Bottom