Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,141
- 111,020
Hahaha...mzee baba, kwani anaposema "mafurushi" huwa inakukata sana?
Eti huwezi amini ndo huyu atoto
Oyaa mabaharia amkeni yule bibie anatuita mafurushi kapost picha njooni kabla hajaifuta