Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,362
- 176,183
Haitoshi.Si umeshaona Atoto inatosha au ?
Haitoshi.Si umeshaona Atoto inatosha au ?
Ogonile bibi furushi ? twambombo ?Wa Kyela.
Ninazo chache.Khaa wewe tena?? Wakati wewe ulisema unazo picha zake kama zote??![]()
Kwamba mimi mpole sana?Wanyaki wa Kyela hatupo hivi
MadameKhaaaah! Nakuquote kabisa, tafuta sababu tena.View attachment 1255778

Khaaah!Tutajie sehemu![]()
Eti huwezi amini ndo huyu atotoKhaaaah! Nakuquote kabisa, tafuta sababu tena.View attachment 1255778
Hivi alikufa??
Hapana.Khaaah!
Kwahiyo nawe mnyaki?
LolUko wapi mama yangu?? Mzee amedanja juzi juzi hapa,, daah maisha yangu ya geography yalikuwaga kitonga sana!! Halafu baada ya kifo chake ndiyo nikajua kumbe alikuwa lecturer pale Mzumbe main campus..

sikujua.
Furushi wewe unaielewa pombe tu.Ogonile bibi furushi ? twambombo ?
Huwa nakiskiaga sema sielewi wanaongeaga nini
Madame haiba.Madame![]()



mkuu smartphone ni smartphone na kiswaswadu ni kiswaswadu,, mie nimekuambia ubadilishe hicho kinachoonekana hapo siyo hiyo uliyotumia kuingia nayo JF namna gani vipi bob??
duh mkuu akil yako ni gani ?huwez jiuliza jf nimeingia na cm ipi?
View attachment 1255772 after work shit.
We kweli furushi, na yule mwenzio alotapeli watu maana hili neno linakuuma kweli.Eti huwezi amini ndo huyu atoto
Oyaa mabaharia amkeni yule bibie anatuita mafurushi kapost picha njooni kabla hajaifuta
hewalaaa...au kuna miaka alikuwepo Mkinga mmoja anaitwa Tuntemeke Sanga...
mmmhhh!!!
mkuu ile treni ni bab kubwa sema ni vile watu hawajui tu,, mie huwa sipigagi na vitu vya ajabu ni hadi tuone vitu adimu na vya kimataifa kama vile..