Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mkoa upi huoHali ni tete huku..
Tunaenda nayo hivyohivyo..
Poleni sana
Mkoa upi huoHali ni tete huku..
Tunaenda nayo hivyohivyo..
Picha full ninazo mbili tuAiseeehhh!!
Bff wa dada Tins fanya yako dada ajilipue bathii!!
Kaskazini jirani...Mkoa upi huo
Poleni sana
Ah huko balaaKaskazini jirani...
Duh hawa bwana. Huenda kweli tunafahamiana. Mimi nilianzia kimweri nikamalizia mirambo.Yeah nimekaa first year hapo eeh
Zamani lilikuwa la wavulana eeh
Staggered semester nilikaa Matola
Second year hadi mwisho nikaa nje huko
Kilimahewa aisee nilijuta![]()
Hii mpaka August mwishoni..Ah huko balaa
Huku mvua imeamua naona leo pia tupo nayo
Hizi style mbili hizi. .. Nadhani ndio kongwe zaidi duniani... Yaani huwa nawaza tu....
Nyoka ndio alifundisha bibi yetu Eva? Ama je, Bibi yetu Eva alifanya ugunduzi binafsi? Na je kwa babu yetu Adam walitumia ipi? Mshazari ama wima? Doggy n mende!![]()


sijatia timu mda nakutana na vichekesho tu huku.Ooh vizuri miaka hiyo hamjapata stress za kukaa nje .Duh hawa bwana. Huenda kweli tunafahamiana. Mimi nilianzia kimweri nikamalizia mirambo.
HakikaHii mpaka August mwishoni..
Poleni jirani. Ni kuzoea tu hakuna namna.Hakika
Ah huko uingereza napo joto kali
Hakika mabadiliko ya tabia ya nchi
Yeah kuzoea tuPoleni jirani. Ni kuzoea tu hakuna namna.
Vikenge nilikuwa sivikubali kabisa. Nahisi miaka hii watakuwa wameongeza hostel zingineOoh vizuri miaka hiyo hamjapata stress za kukaa nje .
Third year ndo nilijuta aisee nilikaa mbali mno Vikenge huko panaitwa .. sema niliwapata wenzangu nilipiga video nikawaonyesha room ilivyo bomba , halafu bei rahisi 300K tu . Tukawa classmates 6 hivi pale .
Kahawa, cocoa, Millo ndio muda wake.Yeah kuzoea tu
Ndo maisha haya
Sio vikenge mule ndani hapana ni kule njiani ukitoka sanga sanga baada ya kituo cha osterbay kinachofuata ni Vikenge .Vikenge nilikuwa sivikubali kabisa. Nahisi miaka hii watakuwa wameongeza hostel zingine
Noma, ila sawa tu kila watu wana mambo yao mabaya na mazuri. Sema huyu Surbi aache kusema eti hatujui mapenzi, hata kama wabahili ili kunjunjana na malove tunajua bwana, labda alikutana na mpare wa hovyo hovyoHahahaha nilitaka kukutag
Aisee sijui wengine wanawaharibia

CravingsKahawa, cocoa, Millo ndio muda wake.
